المكتبة المرئية

Ukamilifu wa Qur’ani, Wito wa Tawhiid na Ahadi ya Msamaha

Aya hizi zinabainisha utukufu wa Qur’ani Tukufu ambayo aya zake zimekimilishwa na kufafanuliwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye Hikima na Mwenye Habari za Yote. Zinawalingania wanadamu kumwabudu Mwenyezi Mungu Peke Yake bila kumshirikisha, zikihaidi maisha mema na fadhila za ziada kwa yeyote anayeomba msamaha na kutubu Kwake, huku zikionya dhidi ya kupuuza, kwani marejeo ya mwisho ni kwa Mwenyezi Mungu Mwenye uwezo juu ya kila kitu.